Hoooooodi wana jf

Hoooooodi wana jf

Karibu sana JF...ila angalia tu usije ukatuambukiza hizo DHIKI ulizobeba....🙂
 
Sasa ndo tukuelewe vipi mkuu? Mi nilitegemea unaleta fuko la neema, anyway hivyohivyo tu karibu ndani
 
Karibu sana, lakini hilo fuko lako lichunge sana lisije likapasuka na kutuambukiza
 
Karibu sana sana JF jisikie huru kwa kufuata kanuni kuchangia mawazo yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom