Hodi WENYEJI, Naomba mnioneshe njia...

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,078
Wana JF, Kweli its an honor kua mgeni wa "Great Thinkers"; I believe nitapata meeengi toka kwenu (the IRONY nimeiskia Jamii Forum baada ya mwanasiasa wetu kulalama).
 
1.Karibu sana,utapazoea ni pazuri,soma masharti ya hapa vinginevyo utakula BAN.
2.Hapa njia ziko nyingi kuna ile ya siasa,biashara, mapenzi na mahusiano na nyingine nyingi, njia hizi waweza kupita bila kibali.
ila kuna njia moja inaelekea panapoitwa. Jukwaa la wakubwa, hapo ukiingia huko ni kivyakovyako.AT YOUR OWN RISK. Ukifika huko utakayoyakuta usimlaumu mtu.Huko unaingia kwa kibali.Mtoa kibali ni mheshimiwa mmoja anaitwa invisible.Wengi mitaa hiyo huitembelea kimya kimya na kutoka kimya kimya. Usiniulize kama nilishaenda mitaa hiyo au la nitakujibu SKUMBUKI.
3.Kuna michango unaombwa kutoa kuchangia JF.Ukitaka wasiliana na huyohuyo mtoa vibali vya kuingia mtaa wa wakubwa.
4.Hapa hatujuani kwa majina halisi wala sura,tupotupo tu,nina zaidi ya mwaka sijamjua mtu jina halisi au sura.
5.KARIBU SANA.,
 
Karibu saana. Ila kumbuka ulowakuta jamvini wote wanaume wameoa na wanawake wote wameolewa.
 
Nashukuru wana JF. Ina maana nimefika mahala penyewe hasa, mimi mwenyewe ni mana na mke
 
nyoka moja kwa moja. pinda kushoto utakuta nyumba nyekundu hesabu nyumba tano toka hapo utakutanyumba yenye balaza zuri ndo hio ingia.
 
nyoka moja kwa moja. pinda kushoto utakuta nyumba nyekundu hesabu nyumba tano toka hapo utakutanyumba yenye balaza zuri ndo hio ingia.


mmmh! Menyidyo mbona utafikiri unanielekeza JLC au sijakuelewa...
 
Back
Top Bottom