Kuna lotion niliyokuwa naitumia first time ilinikubali sana nikawa mweupe kama mwarabu, kopo liliisha nikanunua jingine sasa hii ya mara ya pili ndo imenikataa kabisa yaani nimekuwa mweusi mpaka...
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all...
Habari wakuu,
Au nasema uongo ndugu zangu...
Mwanamke nywele bana, yaani unywele alafu wa kwake sio fekero.
Mtoto anaachia unywele unashuka mpaka kwa mgongo jamani.
Nywele nzuri safi...
Utafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua...
Watanashati mpo?
Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako...
Leo tarehe 1/1/2024
Nimenyoa dongo na kujiapiza kuwa sitanyoa nywele zangu
Napenda sana kuwa na Rasta lakini nimekuwa nikipata upinzani kutoka kwa mke wangu, ndugu na baadhi ya wanajamii hivo...
Habari 🖐 🖐 🖐
Kuna jambo naomba mnishauri, najua kuna watu humu mnajua mawili matatu kuhusu nywele.
Mm nywele zangu kwa sasa zipo level hii(picha hapo chini) baada ya kuacha kunyoa takribani...
Salaam!
Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya.
Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively.....
Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na...
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia...
Wasalam..
kama head inavo jieleza maalum kwa perfume ,fragrance,body sprays na manukato aina zote kwa kuanza kabisa naweka hizi chache kama kuna zingine sizijui tujuzane
#victorious silver (men)...
Leo nahmn nmeikumbuka zamani,
Nimeyakumbuka maisha ya zamani,
Japo naonekana mshamba mbele ya kadamnasi ila nmeitamani zamani.
Nimetamani kuyaishi maisha yale
Zamani akina mama walivaa nguo ya...
Salaam!
Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu.
Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua...
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona...
Nasikitika sana kuona hakuna udhibiti wa bidhaa feki hasa kwenye bidhaa za mwilini, bidhaa halisi na bora zinapotezea sokoni badala yake bidhaa feki zimetawala soko la nchi.
Miaka nenda rudi haya...
Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.
Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi...
Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa.
Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.