Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Hair dye reactions Many hair dyes contain ingredients that can irritate your skin or cause an allergic reaction. It's important to be aware of this risk, and know what to do. Reactions to hair...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari Ya Asubuhi JF njooni hapa mjue Mavazi Ya Mwanamke Mcha Mungu kama mada ilivyoelezwa MAVAZI YA MWANAMKE MCHA MUNGU [emoji810] [emoji810] [emoji810] [emoji810] [emoji810] [emoji810]...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika vitu ambavyo vinafanya uonekane smart ni kiatu ulichovaa, kama umevaa kiatu kibovu basi hata juu utupie vipi watu watakuona mchafu tu. Naombeni mnitajie raba au kiatu ambacho kinadumu na...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Leo nimegundua napenda sana mwanaume akivaa kanzu. Kanzu ina usexiness fulani hivi sijui kwa sababu asili yangu ni Pwani. Kanzu nyeupee halafu awe ananukiaaaaa...na makobazi fulani. Huwa...
12 Reactions
85 Replies
18K Views
Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua. Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke. NB...
7 Reactions
79 Replies
11K Views
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama. Mimi naamini huwa...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
HABARI KINA DADA WOTE Kina dada wengi hawana tamaduni ya kufanya mazoezi.Wengi wao wamekuwa na vitambi na kuzidi kuongezeka kila siku.Ni nadra sana ukute dada mrembo mwenye watoto wake wawili...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Hello beautiful ladies, ebu tuambizane unapaka dawa gani kwenye nywele zako,na pia unazitunza vp nywele zako baada ya kuweka dawa, kama unafanya steaming unatumia steaming gani na baada ya muda...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari Tanzania ! Haya Madera wanaovaa Wamama na Wadada ndio Mavazi ya Taifa au vipi maana wananchi wanayakubali kiaina. Ahsante.
1 Reactions
8 Replies
755 Views
Aisee! Kabla ya kuongea nae lolote hakikisha anatoa make-up kwanza.
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Aisee ila hii tasnia ya umodel huku Tz Ina mushkeli sana Ni member Gani humu jamii forum anaweza kaa kama huyo mwenye PC toa na sababu
4 Reactions
18 Replies
970 Views
Katika ibada ya mazishi ya Dkt. Kamala, wasomi wenziwe waliamua kuvaa full Academic gear kuonesha usomi wa marehemu Dkt. Diodorus Kamala. Sasa msomi mmoja, tena yuko mbele kabisa , KAVAA RABA...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nimeona ni vema leo tukajuzana namna ya kufunga tai kwasababau nimekutana na wadau kibao wanakwambia hawavai tai eti kwasababu hawajui kufunga, pia hata akina dada nivema mkajua...
6 Reactions
45 Replies
23K Views
Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari wakuu!, Nina rafiki yangu ambaye ni Mzungu anaishi Dar na anataka kunyoa nywele zake, amejaribu saluni kadhaa ila hawajamnyoa vizuri. Kwa anayejua saluni wanaoweza kunyoa vizuri nywele za...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mbinu gani naweza kutumia ili kuridisha nywele zangu. Watu waliniambia nitakuwa na upara lakini ni kitu sikujali sana, saiv naona kabisa nina upara. Mwenye mbinu yeyote anawezakusaidia kurudisha...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
The newest Air Jordan 1 'LATTE' high colorway is rumored to release on May 29,2024 ⭐COMPLEXSNEAKERS.
4 Reactions
3 Replies
673 Views
Sijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani, ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom