Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakuu. Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi. Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata...
15 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari wadau, Leo nilienda na sendo huko katika kibarua changu sasa ghafla kujitazama nakuta kucha za vidole za miguu zimekuwa kubwa na chafu dah za MKONONai nazo ni kama zimefikia hatua ya...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa...
11 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam.
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu. Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia? Nahitaji kunenepa.
10 Reactions
121 Replies
14K Views
Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k...
8 Reactions
111 Replies
9K Views
Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa...
5 Reactions
119 Replies
12K Views
Kujisitiri vema ni jambo la muhimu sana kwa wanaume, lakini pia zaidi sana kwa wanawake, ikiwa ni kwenye mihangaiko au safarini. Kujiandaa na dharura walau na kanga kwenye mkoba ni jambo la maana...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuishi maisha yenye mafanikio na furaha kunahitaji mkakati na maamuzi sahihi kulingana na umri wako na wakati sahihi. Hapa kuna mwongozo wa kujenga maisha mazuri kwa kuzingatia umri wako: Katika...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Jik Carotone cream Omo Carotone maji Sabuni ya magadi 7 Baking powder n.k
5 Reactions
177 Replies
83K Views
Bila kupoteza muda, habarini wana JF. Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa...
1 Reactions
6 Replies
906 Views
Hii Dunia haiishi viroja. Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekaa na dada mmoja mrembo safarini kwenye seat ya bus amejichubua, ila kama ilivyo ada vidole vya miguuni na mikononi bado vyeusi. Sasa shida huwa ni nini eneo hilo la ngozi kuendelea kuwa peusi?
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba mrejesho kwa alotumia tretinoin na positive and negative effects zake
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha. Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi...
34 Reactions
315 Replies
11K Views
Huimbi kwaya, hujaoa ..., wala sio mlokole Unavaaje haya madubwasha?
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt. 👸🏻 Miss World titles: 🇮🇳 India: 6 🇻🇪 Venezuela: 6 🇯🇲 Jamaica: 4 🇬🇧 UK: 4 🇿🇦 South Africa: 3 🇺🇸...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable. Huwa nasikitika sana...
9 Reactions
148 Replies
18K Views
Back
Top Bottom