Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
 
Hakika!.

Ule uzi wako wa kutamani kuzaliwa mwanamke ulitoa red flags.

Huu unathibitisha kuwa wewe ni Bwabwa.

Yaani mwanaume unavutiwa na wanaume wenzako? Wewe itakuwa walikufukuza ualimu kwa sababu ya mambo ya kishoga..
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
 
Unaipoteza heshima uliyoijenga humu, tumezoea kukuona ukizozana na Waalimu na bata zako za 3 stars ila huko unapoenda sasa siko, muachie cocastic mamaa mwenye tashtiti zake mjini JF.
Huyu jamaa analazimisha sana kutafuta kiki humu Jamiiforums...niliwahi kumwambia kwenye thread fulani kuwa umaarufu wa JF huwa unakuja tu automatic sio kulazimisha
 
Hata kama utakuwa unalipwa kupigia promo hicho unachofanya ila kinaweza kukugharimu siku za usoni.

Maana kwenye hii Dunia unapaswa kuogopa vitu viwili vikuu; Mungu na Teknolojia.

Hii Teknolojia inaweza kuja kukufanya ujutie Uzee wako wote ukibahatika kuufikia.

Kuwa nayo Makini 🙌
 
HUYUJA
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali ha
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
huyu jamaa achunguzwe
 
Una nini siku hizi mkuu, umekuwa Sexless ?
 
Back
Top Bottom