Sitashindwa tena kufuga dread kuanzia leo

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,393
5,241
Leo tarehe 1/1/2024
Nimenyoa dongo na kujiapiza kuwa sitanyoa nywele zangu

Napenda sana kuwa na Rasta lakini nimekuwa nikipata upinzani kutoka kwa mke wangu, ndugu na baadhi ya wanajamii hivo nikijikuta nanyoa tu mara kadhaa

Nikiwa na dread za miaka miwili upinzani huibuka

Sijui ndugu huwa mnawezaje huu upinzani mfano mke wako hapendi muonekane wako na kila siku analalamika tu

Mungu nisaidie nisije kupata wazo la kunyoa nisilipate tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu sijui wanapeleka wapi akili siku hizi...

🤔🤔🤔

Leo tarehe 1/1/2024
Nimenyoa dongo na kujiapiza kuwa sitanyoa nywele zangu

Napenda sana kuwa na Rasta lakini nimekuwa nikipata upinzani kutoka kwa mke wangu, ndugu na baadhi ya wanajamii hivo nikijikuta nanyoa tu mara kadhaa

Nikiwa na dread za miaka miwili upinzani huibuka

Sijui ndugu huwa mnawezaje huu upinzani mfano mke wako hapendi muonekane wako na kila siku analalamika tu

Mungu nisaidie nisije kupata wazo la kunyoa nisilipate tena
 
By the way rasta Kwa Bongo kama huna mpunga ni uchafu Tu, halafu usitegemee kazi za kuajiliwa unless Una ujuzi wa ziada.
Me sijaajiriwa Mkuu
Rasta ni nywele kama mtu atakuwa anaajiri kwa kuangalia urefu wa nywele basi atakuwa hajielewi
Kuna watu wananyoa vipara lakini ufanisi kazini ni ovyo
Me siamin kwenye muonekano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me sijaajiriwa Mkuu
Rasta ni nywele kama mtu atakuwa anaajiri kwa kuangalia urefu wa nywele basi atakuwa hajielewi
Kuna watu wananyoa vipara lakini ufanisi kazini ni ovyo
Me siamin kwenye muonekano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama lengo lako ni ubishi sawa, ila jamii ya Kitanzania rasta zimekubalika Kwa wanawake, lakini Kwa wanaume inabidi uwe independent.

Nioneshe Rasta mmoja tu kwenye ofisi za serikali Tanzania nakuwekea dau la million moja mezani.
 
Back
Top Bottom