Nini historia ya hii nguo kuitwa Form 6

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,963
1,617
Habari wakuu,

Je vipi mshakunywa chai huko?
Maana huku sukari inalingana na mishahara yetu.
Baada ya salamu hiyo na utani kiasi sasa naomba nijikite kwenye kilichonileta.
Ni kuhusu nguo hasa tshirt fulani zimekua zikiitwa ama maarufu kwa jina la "form six".

290411.jpg


Sasa jamani je hilo ndio jina lake? Kama jibu ni ndio je kuna maelezo ya kwanini zikaitwa hivyo?

Asanteni nawasilisha.
 
KUNA KIPINDI MATAPELI WALIKUWA WANAITWA FORM SIX..NA MARA NYINGI WALIKUWA WAKIVAA HIVYO PAMOJA NA JEANS NA RABA MTONI.
Inawezekana maana zamani jina la nguo upewa kulingana na mtu aliyevaa ndio maana yalizuka nguo za Snoop Doggy,OPP,yondo sister,kanda bongoman. etc
 
Back
Top Bottom