Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zenu jamani.... Mwenzenu nikifua nguo yani hata hazikolei sabuni...hata nikifua lile povu la pili inakua bado haikolei vizur kiasi cha povu kutoka yani... NB:- Huwa navaa nguo mara moja...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Shea butter ni nini? Ni mmea kutoka wa aina ya kipekee kutoka West Africa. Tunda la mmea wa Shea uwa linatwangwa na kuchemshwa hili kupata Shea butter. Faida za kiafya na urembo Shea butter...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Orliflame ni kampun ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50. Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Usipende kutumia make up zitakazo kualibu urembo wako badaye na acha ubaili kwa kununua make up fake kwa urembo wako utaumia Na usipende kubandika kope bali tafuta mascara zitakazo kuza kope zako...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi, Kwa yeyote anaefahamu namna ya kuweza kufuga afro, yenye nywele nyeusi, zilizonyooka na kusimama anisaidie please, mimi zangu huwa nikichana zinalala wakati mimi napenda zisimame na...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Mkorogo Jamaica unaanzia hata umri wa mtoto mchanga wa miezi sita, ndiyo kina dada wanawapaka mkorogo watoto wa miezi sita mkorogo ni kama fasheni za nguo, huwezi kuvaa nguo za miaka 1990 ktk...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Maasai
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Wakuu naomba yeyote anayejua dawa ya kuondoa hizi chunus ni ndogo ndogo tangu 2010 zinanisumbua
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Achana na vichubuzi..tumia nanasi kung'arisha uso Pineapple is one of the sweetest fruit and is one of my favorite without forgetting grapefruits and passion. Pineapple has got enzymes that...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari zenu wadau. Naomba niulize hili swali ni kwanini ma - designer wengi ni mashoga au kama si mashoga basi wamekaa kiulainilaini, kiasi kwamba huwatofautishi na hicho wanachotuhumiwa nacho...
3 Reactions
65 Replies
14K Views
Nataka cream ya kufuta kovu upande wa shavu niliungua ukubwa kama sh.100 duara sehemu ile ilipona na kuinuka so i feel badly nilienda hospitari wakachuna ngozi ya juu lakin hakusaidia ilipona na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba msaada wa mafuta mazuri ya nywele kwa sisi tunaopenda kufuga afro..yasiyozidi bei 25000
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Napenda kuwatakieni uhitimisho wa wiki mzuri, kwa wengi wanaita mapumziko ya wiki [furai dai] haa haaaa. Ila turudi sasa katika mada yenyewe, mada yenyewe ni kuhusu nywele za bandia kama wingi na...
0 Reactions
113 Replies
21K Views
What makes people attractive? And sometimes really, really attractive? Is it make ups? Food? Gym? Hotness is devilishly hard to generalize. A person's mood, cultural upbringing, and ability to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana...
3 Reactions
88 Replies
28K Views
Vazi hili naona limeanza kuwa maarufu hapa Tanzania kwa wanawake wa rika zote naliona katika misiba mbalimbali, katika sherehe mbalimbali, n.k na wengine wanalipa heshima na wengine wanalivunjia...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Do you already know Fred shop shop in Jumia Market? I think you would like it: fred-shop in Tanzania ✓ Jumia (Kaymu) shop&utm_campaign=androidapp_shop
0 Reactions
0 Replies
779 Views
..jmn ni njia ip na vitu gani vya asil husaidia kukuza nywele kwa haraka ??
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom