nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 673
Natumai wanajamvi mu wazima,
Naona kuna mtindo umeenea sana kwa dada zetu kuvaa magauni marefu,hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejitahidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa kuvaa gauni refu kisha kuzinyanyua kwa mkono muda wote,sasa najiuliza hivi dada zetu huwa hamjui saizi yenu mpaka mtembee mmezishikilia au mmekuwa bibi harusi?
Tafuteni saizi bana na sio zinazotimua vumbi.
Nawasilisha.