Aina za nguo na mitindo ya nywele huongeza urembo?

Jun 6, 2016
20
2
Si mimi tu na wewe, kuna baadhi ya watu pia wanataka jua kusuhu hili.
ni nguo gani humfanya mtu (mvulana au msichana) aonekane mrembo au mtanashati?
je? ni mitindo gani ya kuweka kichwani humpendezesha mtu?
Tujuzane
 
Aiseee suruali ya jeans huwatoa vizuri sana watoto wa kike.

Hasa ukute ana kishepu kizuri, mbona utapenda.

Kwenye nywele, wengi mawigi yanawatoa ila ukute mtu hajui usafi anaishia kunuka tu kichwa.
 
Back
Top Bottom