Mafuta gani mazuri kwa nywele za kipilipili ili zisimame kama za Kina Ole Sonyika?

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,651
Msaada wadau mi ni mpenz wa afro nywele ndefu ila kipilipili kinanikwamisha

Nywele ninazo ila tatizo hazisimami zinabaki kushindiliana tu

Nomben mnsaidie ili nywele isimame
 
mi nna ndugu yangu nae yupo ka wewe yani hivo hivo duh! ngoja wataalam waje watusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom