tansoma JF-Expert Member Jul 25, 2013 1,209 580 May 16, 2016 #1 Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze
Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze
S spleen JF-Expert Member Apr 24, 2013 3,740 6,296 Jun 20, 2016 #3 tansoma said: Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze Click to expand... Weka picha tujiridhishe kwanza
tansoma said: Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze Click to expand... Weka picha tujiridhishe kwanza
Super Sub Steve JF-Expert Member Jul 9, 2011 17,391 10,885 Jun 20, 2016 #4 Ili zisipeperushwe na upepo mkuu