Suti nzuri ya kisasa

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,650
3,662
nauliza wadau duka gani naweza kupata suti nzuri ya kisasa kwa bei nafuu ama fundi gani anashona suti na haichukui mda mrefu
 
k

kama una mwili aina ya "hanger" yani nguo yoyote inakaa.. unafaa kununua tu. utatumia kwenye laki 5 na kuendelea kama utanunua za kawaida
ila kama unahisi uko flani either mnene mfupi, mwembamba mrefu sana na such no proportions basi ni vizuri ushone.
kama uko dar, nenda njia ya samora avenue, opposite na jengo la Nhc. kuna wahindi pale wanashona suti miaka mingi sana na bei zao nafuu kiasi kwenye laki 4 na kuendelea..
otherwise mafundi wa uswahilini ata 150,000 fresh.. sema usije toka na suti ya orange kama mkurugenzi wa kiwanda cha carrot
 
Hahaaa daah jamani, eti suti ya orange kama mkurugenzi wa kiwanda cha carrot
 
nauliza wadau duka gani naweza kupata suti nzuri ya kisasa kwa bei nafuu ama fundi gani anashona suti na haichukui mda mrefu
Kama upo dar jaribu kupita kariakoo mtaa wa agrey na congo kuna maduka mazuri sana ya suti za kisasa na za kueleweka,, na bei zake sio kubwa sana kuanzia 150,000 hadi 200,000
 
Safi sana Cejo,mtu kkatakas ssutiwatu wwamekujjakukonesha umahiri wa kkutukanana hapa, pole yake aliyewalea! u
k
kama una mwili aina ya "hanger" yani nguo yoyote inakaa.. unafaa kununua tu. utatumia kwenye laki 5 na kuendelea kama utanunua za kawaida
ila kama unahisi uko flani either mnene mfupi, mwembamba mrefu sana na such no proportions basi ni vizuri ushone.
kama uko dar, nenda njia ya samora avenue, opposite na jengo la Nhc. kuna wahindi pale wanashona suti miaka mingi sana na bei zao nafuu kiasi kwenye laki 4 na kuendelea..
otherwise mafundi wa uswahilini ata 150,000 fresh.. sema usije toka na suti ya orange kama mkurugenzi wa kiwanda cha carrot
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom