Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,002
- 5,534
Haya Warembo, Walimbwende, Wanyange na Wapenda uzuri wote..... Sote tunajua umuhimu wa kucha kwa mwanamke. Hata upendeze vipi halafu vikucha vyako vimekatikakatika ovyo, vimebanduka rangi, au unaving'ata (kwakweli mimi pia ni mhanga wa hili) unakuwa unaonekana ovyo.
Huku mitaani tumewachoka jamani na style zile zile za kupaka rangi. Yaani mpaka rangi wa Mbagala, wa Mwenge, wa Gongo la Mboto maua yaleyale ya mwaka 47 na nyie mnakubali tu kuchorwa.
This is 2016 bwana!..so i present you with examples za dope nails na nyie mkaige...nakupa hizi 12 ukifanya moja kila mwezi unakuwa uko juu mwaka mzima. Wakaka pia karibuni, mdownload picha muwape mawifi pamoja na PESA ya kuendea huko nail parlour au Mwenge au unaweza kununua ukampaka mwenyewe kwa mahaba zaidi(practice makes perfect)
Asanteni.