Jinsi ya kufuga nywele kwa wanaume

issawema

JF-Expert Member
May 30, 2013
776
643
jamani huu uzi unatoa fursa kwa wale wote wanaopenda kufuga nywele,jinsi ya kuzitunza na kukabiliana na changamoto mbalimbali za nywele.
nawakaribisha wadau mtoe michango yenu juu ya mafuta gani mazuri,
shampoo gani inafaa
kwa wale ambao tupo kwenye maji chumvi tufanyaje,
na pia wale ambao nywele hazinyooki znajisokota wafanyaje,

karibuni waume kwa wake kwa michango yenu
 
Back
Top Bottom