Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habar za kazi wana JF naomba kujua kuhusu kilimo cha hili zao Je, mbegu zake zinaweza kupatikana wapi? Je, soko lake lipoje na linawez kustaw maeneo ya baridi kama vile Njombe na Iringa...
3 Reactions
44 Replies
53K Views
Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia. Vigezo! 1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello JF. Nimeanza uzalishaji wa mchicha lishe miezi michache iliyopita hapa Kyela mjini. Takribani kola kitu kinaenda sawa. Mimi hutumia samadi na kuvuna mchicha kila baada ya siku 15 - 20...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wadau wa jukwaa hili kama ujumbe wangu jinsi unavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana ambaye kitaaluma ni fundi umeme, ila nimejikita kwenye ufugaji kwa muda sasa hasa ufugaji wa kuku kienyeji...
3 Reactions
0 Replies
459 Views
Zao la muhogo limekua likikua sana katika sehem mbalimbali za nchi ya Tanzania. Kuna mwenye uwelewa wa wapi wanapatikana wanunuzi wa unga wa muhogo?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kwa kweli sijaona mfugaji wa mbuzi wa maziwa anayefanya vizuri kama huyu mfugaji aliyeko Uganda. fuatilia program hapo chini.
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Nilikuwa na watch Youtube kuhusu mkulima wa Apple Nchini Kenya anaitwa Wambugu (Wambugu Apple) nimekuwa inspired aisee, ingia Youtube andika Lynn Ngugi Wambugu apple utaiona, na anatoa darasa free...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Nimetapeliwa laki 1 ,nilitoa tangazo nahitaji maharage ya njano , mwenye namba hii 0789242824 ajanitumia meseji inbox akanambia anamjua anayeuza maharage ya njano yupo kyela ,mbeya na akanipa...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa. Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila...
5 Reactions
86 Replies
19K Views
Hi jamani, Hivi kwa Sasa bei za nyanya dar ,,Arusha,,moro ..Mwanza na Dodoma ni sh ngapi Kwa create? Na je gunia la vitunguu ni sh ngapi?
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Peter Wambugu amejizolea umaarufu mkubwa sana Kenya kwa kuweza kudevelop Breed yake ya Apple ambayo ameipa jina Wambugu Apple. Hii apple inaonekana kuvuta watu wengi sana hasa West Africa, Centra...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Chuo cha Misitu Olmotonyi (FTI) ni chuo pekee kikubwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 1937 na ni moja ya chuo bora kabisa kuwepo Afrika Mashariki, Afrika na Duniani, katika utoaji wa mafunzo ya...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Wakuu, Leo nimetembelea maonyesho ya wakulima hapa rock city na nikapita mabanda mbali mbali ya wauzaji na wazalishaji wa mbegu Bora za aina mbali mbali. Kilicho nivutia ni Hawa kampuni ya mbegu...
5 Reactions
51 Replies
29K Views
Ukiangalia maandamano ya Wakulima Ulaya yana fikirisha sana na kujikuta nawaza kama tuna lima huku Africa au tuna tania tu. Ulaya wakulima wana nguvu mno, kaisi kwamba sisi tunaonekana tuna cheza...
3 Reactions
9 Replies
731 Views
Habari wanajamii Kilimo, Binafsi nimepitia hii nyaraka, kwa wale wapenda kilimo kama mimi ukiipitia hii document itakufungua macho sana kuhusu zao gani lipewe kipaumbele kutokana na eneo ulilopo...
3 Reactions
7 Replies
969 Views
Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO NAIBU Waziri Ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Watanzania wengi kwa sababu ya kuigana yaani no kuumiza kichwa wote tuna fuga kuku wa mayai au Nyama. Kuna Bata special wa Mayai hawa utagaji wao hakuna Kuku anaye fuata, kuna layers Ducks...
11 Reactions
76 Replies
14K Views
Naitaji kifahamu jinsi ya kutatua changamoto ya mahindi kuwa na rangi ya kijivu Nini suluhisho?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom