Kwa Kiha yanaitwa KINULE!
Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA?
Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko...
Naomba mnielekeze kampuni inayouza vifaa vya kuendeshea kilimo kama vile power tiller, gasoline micro tiller, na pipe za kuvutia maji katika kilimo cha umwagiliaji
Habari za leo wapendwa, baada ya kujuzwa faida ya mmea wa azola ulivyo na ufanisi na mkombozi kwa wafugaji, niliingia shambani kwa ajili ya kilimo na sasa mavuno yako tayari.
Kwa yeyote...
Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika
Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna
Viwavi...
Habari ya Kazi, poleni na harakati za kila siku. Nimekuja mbele yenu ili mnijuze kiuagugu ambacho ni Bora kwenye maharage. Yaaan namaanisha Chenye ufanisi mkubwa kuua magugu na nyasi na kuacha...
Habari za humu ndani wadau, nimesoma maandiko mengi na kusikiliza wataalamu wengi juu ya kilimo cha mahindi.
Wapo wanaosema unaweza tumia viua magugu km round up kuandaa shamba badala ya kulima...
Habari ndugu wakulima wenzangu.
Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana.
Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei...
Wakuu salama.
Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama.
Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele
Shamba la karibu na mto...
Salaam kwenu wapendwa,
Mimi ni mkulima wa mazao ya nyanya na viazi mviringo.
Kuna ugonjwa ambao unanitesa sana shambani kwangu na kwa wengine pia ugonjwa wenyewe ni mmea kunyauka pindi tu...
Baada ya kumaliza kula michembe na maziwa nimekaa zangu kwenye duka la Muha nikaona mdahalo unaoendelea muda huu kupitia TBC 1 ambapo wadau mbalimbali wanajadili masuala mbalimbali hususani...
Wakuu nawasalimu,
Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba...
Jinsi ya kutengeneza kiuadudu cha asili kwa kutumia mbegu za mti wa mwarobaini.
Okoa fedha na linda afya za walaji kwa kutumia viuadudu vya asili kudhibiti wadudu shambani kwako.
Fuata hatua...
Nina kuku wakubwa ambao nawatumia kama wazazi,pia nina vifaranga wa takriban miezi 3 na nusu,mara mwisho niliwapa chanjo ya kideri tar. 20.8.2023 na hapa kati nilikuwa na vifaranga wengine...
UFUNGUZI
Kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula kukua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi, kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia...
Ndugu zangu awali nilileta uzi uliokuwa unasema Kilimo ni biashara pekee inayolipa 100%, wapo waliopinga na wapo walikubaliana nami, lengo la uzi nilikuwa nimewalenga hasa vijana waliomaliza vyuo...
Nimekuwa nafuatilia sana Mimea mingi ya asili na Matunda pia nikagundua matunda ya asili tunayo yadharau sisi na kukumbatia ya kigeni nifurusa kwa wenzetu huko nje,na ndio hizo walipropagate na...
Habari,
Kwasasa nipo mkoa X nafanya kazi pahala kwenye kampuni fulani. NAfikiria mwez wa 12 nitoe kama 500k ninunue mbuzi kama 5 huko Tabora kwa bibi yangu.
Namna ninayowaza ya kuwafuga ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.