Wambugu Apple, kutoka kwa Peter Wambugu

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Peter Wambugu amejizolea umaarufu mkubwa sana Kenya kwa kuweza kudevelop Breed yake ya Apple ambayo ameipa jina Wambugu Apple.

Hii apple inaonekana kuvuta watu wengi sana hasa West Africa, Centra America na Southern Africa pia na hii nazani ni kwa sababu ya hii varieties kuwa na uwezo wa kuzaa maeneo yanye joto la hadi 36°C ukilinganisha na varieties zingine ambazo zinahitaji maeneo ya baridi pekee kama Iringa, Njombe, Mbeya, Arusha. na oia kuwa na uwezi wa kuanza kuzaaa ikiwa na miezi 9 pekee.

Wiki ilio pita wamezindua kiwanda cha grading na hivyo kuwawezesha kuanza ku export matunda ya Apple.

Kuna binti yake anaitwa Cate Wambugu huyu ndio anasimamia Idea ya Baba yajmke kwenye Apple yao hio.

Unawesa google kwa habari zaidi ya Wambuhmgu Apple
Screenshot_20240109_221523_com.facebook.katana.jpg
FB_IMG_1703185707634.jpg
Screenshot_20240115_080742_com.facebook.katana.jpg
 
Ni mbegu poa saana kwa watu wa Arusha Kilimanjaro, mbeya iringa na maeneo mengine hii ni fursa...Unaweza ku wtasup Catherine Wambugu mkafanya biashara mche moja anauza KSH 1000, ameridhia niweke nuumber yake hapa +254722284176 ni mtu oa saana na yuko very reliable
Kila la kheri wakulima
1000/= na transportation fee au mkulima anasafirisha mwenyewe??
 
Ni mbegu poa saana kwa watu wa Arusha Kilimanjaro, mbeya iringa na maeneo mengine hii ni fursa...Unaweza ku wtasup Catherine Wambugu mkafanya biashara mche moja anauza KSH 1000, ameridhia niweke nuumber yake hapa +254722284176 ni mtu oa saana na yuko very reliable
Kila la kheri wakulima
kwa wageni anauza kwa $ kila mche $ 10.
 
Ndugu zangu wa kitivo cha kilimo SUA huwa mnanihuzunisha sana kila nikiona habari kama hizi.
SUA wanafanya vile vitu ambavyo vinafanywa na kila mtu, mfano wana fuga ng'ombe aina ya Fresian, saaa hawa kila mtu anaweza fuga? binafisi huwa nawakubali sana JKUAT, Jomo Kenyata University of Agriculture and Techinology, jamaa wana dili na mambo magumu sana, ukitembelea hata Banda lao huwa wana vitu vigumu sana, huwezi kuta Ng'ombe, Mbuzi, Kuku,
 
hio ni pesa mche, ni around 16,000/ ya Tanzania, kwanza ukiwasiliana naye kwa number ya nje mche anauza kwa $ 10.
Nimeshafanya naye biashara nilinunua kwa pesa ya kenya, Nilimfuata shambani kwao na nilikutana na baba yake, na hata baada ya kurudi na kuotesha nilionge Tanzania nilishaagiza miche mara tatu kwa hiyo bei ukinunua mingi ukimuomba naamini atakupunguzia
 
SUA wanafanya vile voru ambavyo vinafanywa na kila mtu, mfano wana fuga ng'ombe aina ya Fresian, saaa hawa kila mtu anaweza fuga? binafisi huwa nawakubali sana JKUAT, Jomo Kenyata University of Agriculture and Techinology, jamaa wana dili na mambo magumu sana, ukitembelea hata Banda lao huwa wana vitu vigumu sana, huwezi kuta Ng'ombe, Mbuzi, Kuku,
Mkuu hawa SUA hawajitambui hata kidogo
ukiwa challenge utasikia mtu anakujibu unataka professor nkafuge ngombe

wenzio kenya wana kuku chotara wa kienyeji anaitwa KARI ALITOKANA NA kuku pure wa kienyeji waliochukuliwa sehemu mbalimbali ya Kenya na ndio wakatengeneza hiyo mbegu,, na huyo kuku anashindanishwa na akina sasso na kuroeler... hapa kwetu ukienda singida tabora na maeneo mengine kuna kuku mbegu ile ya asii inapotea

Ukienda kwa malisho, niliona Mganda moja amefanya utafiti wa maganda ya nanasi na kulishia ngombe, nikajaribu kutengeneza silage ya mananasi left over kabla sijalisha mifugo ikabidi nipeleke sample SUA wanipimie nilirudishiwa getini ikabidi nimtaufute yule Mganda kwa garama akanisaidia.. UKIENDA bagamoya kiwangwa kiwango cha lefyover ya nanasi kinachoo za SUA walitakiwa wameshakuja na solution wanaofanya maprofessor wao wanashindana kufungua bar

Inakera saana elimu ya miaka ya 80 ndio waliyoishikilia mapaka leo
 
Ni kweli
 
Nimeshafanya naye biashara nilinunua kwa pesa ya kenya, Nilimfuata shambani kwao na nilikutana na baba yake, na hata baada ya kurudi na kuotesha nilionge Tanzania nilishaagiza miche mara tatu kwa hiyo bei ukinunua mingi ukimuomba naamini atakupunguzia
Vipi mkuu, ulipanda mkoa gani na je ilikubali?
 
Mkuu hawa SUA hawajitambui hata kidogo
ukiwa challenge utasikia mtu anakujibu unataka professor nkafuge ngombe

wenzio kenya wana kuku chotara wa kienyeji anaitwa KARI ALITOKANA NA kuku pure wa kienyeji waliochukuliwa sehemu mbalimbali ya Kenya na ndio wakatengeneza hiyo mbegu,, na huyo kuku anashindanishwa na akina sasso na kuroeler... hapa kwetu ukienda singida tabora na maeneo mengine kuna kuku mbegu ile ya asii inapotea

Ukienda kwa malisho, niliona Mganda moja amefanya utafiti wa maganda ya nanasi na kulishia ngombe, nikajaribu kutengeneza silage ya mananasi left over kabla sijalisha mifugo ikabidi nipeleke sample SUA wanipimie nilirudishiwa getini ikabidi nimtaufute yule Mganda kwa garama akanisaidia.. UKIENDA bagamoya kiwangwa kiwango cha lefyover ya nanasi kinachoo za SUA walitakiwa wameshakuja na solution wanaofanya maprofessor wao wanashindana kufungua bar

Inakera saana elimu ya miaka ya 80 ndio waliyoishikilia mapaka leo
Aisee mwaka huu nataka nifungue shamba, nipande mazao kama haya ma-apple, nifuge kuku nk. Sasa nafurahi kuona ma-idea kama haya ya apple zinazoweza kukua kwenye joto na pia kuku wa breeding ya kiasili kama hao.

Kuna siku niliona chuo sijui ni taasisi ya kilimo huko Kilimanjaro, wana ndizi moja mkungu unakua mkubwa balaa, yaani ndizi za kutosha. Nikatamani sana.

Napenda kuwa na shamba kama la Nguzu wa Mpali , maisha magic bongo (dstv ch. 160) au zambezi magic. Ni ekari za ndizi ila anafuga ng'ombe pia, mbuzi, kuku nk
 
Mkuu unaijua bei ya mkungu shambani? Utalia..... Vitu vizuri ila utakandamizwa uende sawa na ndizi za kawaida ogopa sana zao linapita kwa watu zaidi ya watatu na ukipeleka sokoni mwenyewe zinadoda kuna changamoto sana mpka unajikuta huoni thamani ya kile ulichowekeza wazoefu wanazijua njia ila nao wanakomaa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom