Asante mkuu kwa wito.Wacha nikae kwa kutulia nimpe mkuu darasa huru
Asante mkuu kwa wito.Wacha nikae kwa kutulia nimpe mkuu darasa huru![]()
kweli kabisa mkuu,jf ni zaidi ya darasaNdiyo raha ya kuwa na Wataalamu hapa jamvini maana wengi tunafaidika.
Mche unauzaje
kweli kabisa mkuu,jf ni zaidi ya darasa
Miche yenye urefu huu huwa hatuuzi,ipo kwa ajili ya kuwaonyesha wateja wetu wanaofika bustanini.Mche unauzaje
Nitashukuru mkuuAsante mkuu kwa wito.Wacha nikae kwa kutulia nimpe mkuu darasa huru![]()
Naomba urejee comment namba 10 boss.Unauzaje
Tunapatikana SUA,kitengo cha HorticultureUnauzaje
Hata mimi niliona kwenye habari ITV last week kama sikosei huko Kilimanjaro nikajisemea wachagga sasa watang’oa zile Kahawa na kuruka na hili zao jipya
Heka moja inaingia miche mingap
kwa space ya 4.5*4.5m itahitajika miche 245 kwa eka moja.Heka moja inaingia miche mingap
Heka moja inaingia miche mingap
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us