Wakuu nipo mkoa Fulani huku Kanda ya ziwa, nimelima mazao hekari 10. Nne za mahindi na 6 za mpunga
Kati ya hekari 4 za mahindi hekari 2 na nusu ziko vizuri na mbolea niliwekea so sasa hivi...
Zingatia Mambo Haya Ili Kuhakikisha Unakuwa Na Shamba Lenye Miti Yenye Afya Na Mavuno Mengi.
Kwa Wakulima wa Matunda Wa Muda Mrefu na wapya watakuwa mashahidi kuwa ili Shamba liwe na Mavuno Bora...
Wadau na watalaamu wa kilimo cha nyanya hali ya mvua inatishia kwa uzalishaji wa nyanya tupeane mbinu mbalimbali za kupambana na hali iih ni sumu gani zinafaa kupuliza? Natanguliza shukurani
Mwaka 2023 umekua mwaka wa neema kwa wafugaji, mwaka wa maji mengi na malisho mengi tofauti na mwaka 2022 ambapo ng'ombe wengi walikufa.Gazeti la Mwananchi la Jan.16,2022 liliandika kuwa Ng'ombe...
Habari wakuu,
Nimepanda mahindi mwezi November 2023 maeneo ya mkuranga mbegu ya pioneer sasa yamefikia hatua ya kubeba(yana miezi miwili) ila yamepata tatizo lakunyauka majani kuanzia chini kuja...
Habari wakuu....
Natamani nianze rasmi kilimo hiki, naomba ushauri kuhusu masoko na bei zake huwa zikoje huko masokoni.....
Niko Morogoro mjini.
Karibuni.
Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu.
Na pia katika...
Kama kichwa kinavyosema mwaka huu nataka kuanza kufuga ng'ombe wa maziwa je wataalamu naomba msaaada wa changamoto na wenye uzoefu na kila kitu kinachohusu ufugaji huuu asante
Habari zenu wapendwa,
Baada ya kushawishika na upandaji mbogamboga katik mazingira ya nyumbani, nimejaribu mboga kadha wa kadha nimeweza ila hohoho zinanishinda kuanzia kitalu,nimefanya attempts...
Nawasalimu kwa jina la aliye juu wakulima wenzangu.
Nasimama hapa kutangaza rasmi kwamba 2023 nitafia shambani. Nimejiridha pasipo na shaka kwamba mali utaipata shambani.
Kwa hiyo 2022...
Hello members
Aisee kuna fursa pia ufugaji wa wanyama pori ila fursa hii ni mahsusi kwa wenye mitaji mikubwa (ujenzi wa miundombinu)
Mathalani kufuga viboko : kiboko wakati wa kumchinja kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.