Naombeni connection za kazi kuhusu ufundi wa incubator mashine

kepha joseph

Member
Sep 17, 2021
11
4
Habar wadau wa jukwaa hili kama ujumbe wangu jinsi unavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana ambaye kitaaluma ni fundi umeme, ila nimejikita kwenye ufugaji kwa muda sasa hasa ufugaji wa kuku kienyeji na chotala pia nimepata uzoefu wa kutosha kuhusu magonjwa na chakula kwa kuku vile vile kupitia ufugaji nimeweza kujifunza ufundi wa vitotoleshi vya vifalanga vinavyotumia umeme na sola kupitia mtu fulani ambaye amekuwa mwalimu wangu. Hivyo nachukuwa nafasi hii kupitia kwenu kuwa anayehitaji tuwekeze kupitia ujuzi wangu naombeni sapoti yenu au kwa mtu mwenye shamba la mifugo anayehitaji kijana msimamizi mimi nipo tayar na popote ninafika kwenda kufanya kazi. Nipo mwanza mawasiliano yangu 0694103055
mwisho wa kuwasilisha ahsanteni na Mungu wa mbinguni awabariki.
Kwenye picha ni mfano tu wa baadhi ya kazi zanguView attachment 2902131View attachment 2902135View attachment 2902134
 
Back
Top Bottom