Naombeni ushauri kuhusu kilimo cha nyanya

NTIBUYUYIZA

Member
Jun 3, 2013
19
1
Habari wadau, nimepanga kulima nyanya mwaka huu, nataka nitakazouza muda wa kuanzia mwezi wa 11 mpaka muda huu naomba mnishauri kwa yafuatayo;
1. Nianze kufulia mbegu lini
2. Nianze kulima lini?
3. Nilime mbegu gani,
4. Niandae mbolea zipi na zipi kwa mpangilio upi na upi
5. Nataka kulima nusu heka mbegu itakuwa kiasi gani? Kwa gharama gani?

NAOMBENI USHAURI
 
Majibu kwa kiasi kikubwa yanategemea uko wapi. Kwani sehemu unayotaka kulima haina wakulima wa nyanya? Kama haina umeshachunguza ni kwa nini?
 
Kwa maswali hayo nusu heka (kama miche 400p) sidhani kama utaweza kuhufumia.
Jaribu kuanza angalau na miche 1000
Post #3 izingatiwe
 
Back
Top Bottom