Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu
Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa...
Habar wadau wa jukwaa hili kama ujumbe wangu jinsi unavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana ambaye kitaaluma ni fundi umeme, ila nimejikita kwenye ufugaji kwa muda sasa hasa ufugaji wa kuku kienyeji...
Nilikuwa na watch Youtube kuhusu mkulima wa Apple Nchini Kenya anaitwa Wambugu (Wambugu Apple) nimekuwa inspired aisee, ingia Youtube andika Lynn Ngugi Wambugu apple utaiona, na anatoa darasa free...
Nimetapeliwa laki 1 ,nilitoa tangazo nahitaji maharage ya njano , mwenye namba hii 0789242824 ajanitumia meseji inbox akanambia anamjua anayeuza maharage ya njano yupo kyela ,mbeya na akanipa...
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila...
Peter Wambugu amejizolea umaarufu mkubwa sana Kenya kwa kuweza kudevelop Breed yake ya Apple ambayo ameipa jina Wambugu Apple.
Hii apple inaonekana kuvuta watu wengi sana hasa West Africa, Centra...
Chuo cha Misitu Olmotonyi (FTI) ni chuo pekee kikubwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 1937 na ni moja ya chuo bora kabisa kuwepo Afrika Mashariki, Afrika na Duniani, katika utoaji wa mafunzo ya...
Wakuu, Leo nimetembelea maonyesho ya wakulima hapa rock city na nikapita mabanda mbali mbali ya wauzaji na wazalishaji wa mbegu Bora za aina mbali mbali.
Kilicho nivutia ni Hawa kampuni ya mbegu...
Ukiangalia maandamano ya Wakulima Ulaya yana fikirisha sana na kujikuta nawaza kama tuna lima huku Africa au tuna tania tu.
Ulaya wakulima wana nguvu mno, kaisi kwamba sisi tunaonekana tuna cheza...
Habari wanajamii Kilimo,
Binafsi nimepitia hii nyaraka, kwa wale wapenda kilimo kama mimi ukiipitia hii document itakufungua macho sana kuhusu zao gani lipewe kipaumbele kutokana na eneo ulilopo...
Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake
VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO
NAIBU Waziri Ofisi ya...
Watanzania wengi kwa sababu ya kuigana yaani no kuumiza kichwa wote tuna fuga kuku wa mayai au Nyama.
Kuna Bata special wa Mayai hawa utagaji wao hakuna Kuku anaye fuata, kuna layers Ducks...
Mlimao wangu ulipata Shida na majani kuanza kuwa meusi. Nilichukua Jani na kupeleka Kwa wataalam wanauza dawa za mimea wanajiita Mangito. Kufika palale kuwaonyesha na wakanipa dawa ya ukungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.