Wadau habari,nilikua naomba msaada wenu jinsi ya kuweza kupata mikopo midogo midogo ambayo ina masharti nafuu kwa ajili ya biashara hasa ya kilimo,chakula na ufugaji!mimi ni kijana niliegraduate...
Habari wakuu?
Jamani mimi ni graduate niliyeamua kujiajiri kwa kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa mfumo wa NUSU HURIA, Wazo hili nimelipata humu humu na baada ya kusoma nikaamua...
Sababu mbalimbali za kujiajiri mwenyewe
Katika point nyingine kwenye haya maisha, kila mtuanapenda sana kujiajiri, ni wachache sana ambao ukiwauliza watakuambiahawapendi kujiajiri, Hata wahanga...
Pata elimu ya ujasiriamali kwa kujifunza biashara mbalimbali kitu cha kuzingatia unapoanza biashara yako, msaada wa unachokifanya na mbinu mbali mbali za kuifanya biasha yako ikue.
kwa wale...
Ni wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea...
Mtaala wa elimu ya tanzania unatuandaa vijana wengi tunaomaliza elimu ya juu namaanisha vyuo vikuu kuwa mategemezi na si kujitegemea na kukomboka na elimu tuliyopata. Wengi tunafikiria sana...
Hello..!
Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap...
Habari za asubuhi wa jf,
Natarajia kufungua duka mahususi kwa ajili ya mahitaji madogomado ya nyumbani
kwahiyo naombeni msaada wa ufafanuzi kuhusiana na bidhaa zipi nianze nazo,na wapi...
Habari za wikendi wapendwa?
Bila kupindisha mada kama ilivyo katika kichwa hapo juu ni kwamba mie ni mkazi wa Arusha mjini mwenye nia ya kufanya biashara angalau yenye mtaji wa shilingi milioni...
Katika siku nilizowahi kusononeshwa ni jana, nilibahatika kusikia mjadala fulani redioni nikasikia uchumi wa Tanzania hautokani na kilimo wala viwanda bali tanzania limekuwa taifa la kichuuzi...
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.
Shikamoo wakubwa, wenzangu na mm habari za saa hz bila kusahau wadogo hamjambo...mimi ni msichana ninae fanya kazi katika kampuni moja hv nina shida na natumai mtanisaidia ninaomba mniambie ni...
Wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku. Mimi naishi mji kasoro bahari na plani yangu ni kuanzisha business ya kitimoto, mtaji siyo shida. ombi langu kwenu ni kama kuna mdau mwenye plot iliyo...
Wadau naomba kuelimishwa juu ya ni aina gani ya biashara ndogo ndogo naweza fanya kati ya Tanzania na Kenya!kifupi nilikua naomba msaada juu ya bidhaha gani nazoweza pata Kenya ki urahisi na...
Natafuta mizani (ya mawe)kama kuna yeyote mwenye mizani ya kupimia kwa kutumia mawe, au anajua inapouzwa (hata used) naomba tuwasiliane chapchap. sms or call 0762959725 or ni pm.
Wadau,
Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na...
Wana JF wale wenye utaalamu na uzoefu wa kuandika Proporsala ya Media Organizer kwenye Mashirika na makampuni Mbalimbali, namaanisha kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea, hivyo naombeni...
Wana jamii naomba ushauri kuhusu biashara ya mashine ya kuranda na kuchana mbao, kwa anayeijua vizuri anishauri nataka kuianzisha, na km unajua sehemu ninapoweza kupata mashine za kuchana na...