Kitabu cha Ujasiriamali … Kitabu cha Ujasiriamali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu cha Ujasiriamali … Kitabu cha Ujasiriamali

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by C.K, Oct 21, 2012.

 1. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ni wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea kuajiriwa tu.., fanya pia shughuli yako/zako binafsi ili kupata kipato binafsi.

  Ili uweze kufanya hivyo kwa ufanisi zaidi unahitaji kupata elimu na uelewa husika. Kitabu changu cha Njia na Namna za Kufikia MAFANIKIO YA KIFEDHA kitakupatia elimu na uelewa wa kutosha kuhusu nini ufanye ili ufanikiwe kifedha. Kitabu tayari kiko sokoni tangu mwaka jana, 2011, na waliokisoma wanasema ndiyo kitabu bora zaidi katika vitabu vya ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla nchini vilivyo katika lugha ya Kiswahili. Nina uhakika na wewe pia ukikisoma utakubaliana nao.

  Sasa, kutokana na uhitaji wa kitabu hiki kuwa mkubwa (hasa kwa watu wa mikoani tofauti na Dar es Salaam) nimeamua kukiuza katika soft copy kwa shilingi elfu nne (4,000/=) tu ili watu wengi waweze kukipata. Kama unakihitaji tuma pesa yako kwa M-Pesa 0758 397557 au Tigo – Pesa 0718 174415. Baada ya kutuma utapata nakala yako katika pdf ndani ya masaa 24. Hakuna ulaghai wowote kwani ni mimi mwenyewe Robert C.K nimeamua kuwasaidia wasomaji wangu kwa njia hiyo. Hapa nimekuwekeeni cover tu ya kitabu hicho.

  NB: Hakikisha unanitumia jina lako kamili, email yako na namba ya simu uliyotumia kutuma pesa ili niweze kukutumia nakala yako kwa ufasaha. Email yangu ni chazyarobert@gmail.com
   

  Attached Files:

 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  mkuu vizuri sana, sasa mimi nina swali, Je ukisha mtumia mtu halafu huyo mtu akaiweka humu janvini na watu wakapata bure itakuwaje? utamshitaki huyo mtu?

  Ok mkuu mimi nitakutumia mida hii
   
 3. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Sidhani kama utakuwa umefanya ustaarabu kwani hiyo ni kwa ajili ya personal use... sasa ukiweka humu sijui utakuwa na lengo gani...
   
 4. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Aiseee na wewe ni mjasiriamali mzuri, ngoja nisake mahela nije nipate huduma ya kitabu chako!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 5. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwanza tafuta njia yoyote ile ututhibitishie kuwa hizo namba za simu ni za mwandishi halisi (original) wa hicho kitabu. Asije akawa mtu mwingine ameweka tu hiyo picha ya cover la kitabu wakati siyo chake halafu utuibie vihela vyetu.
  Pili tuthibitishie waziwazi kuwa tukikutumia hela kwa m-pesa na wewe utatuma kitabu. Tusije ingizwa mjini wakati nasi wa mjini kwa kutuma hela halafu kitabu hakuna
   
 6. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ukidownload hiyo picha - cover, zoom kwa kama 200% hivi utaona no. za simu 0758 397557, 0789 333088 na 0718 174415. Halafu nipigie uhakikishe kama ni mimi au la... We tuma hela hata sasa hv kwa kuwa niko online ntakutumia kitabu leo leo kama siyo sasa hv.
   
 7. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  kama vipi tuwekee na picha ya ukurasa wa yaliyomo ili tujue kabla ya kununua ni vitu gani vipo ndani ya kitabu chako.
   
 8. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45

  Ok.., Yaliyomo:

  YALIYOMO
  SURA I: UTANGULIZI ....................................................... 7
  1.1 Mafanikio ni nini?................................................... 9
  1.2 Aina za Mafanikio.................................................. 10
  1.3 Kwa nini Mafanikio Binafsi Kifedha?!........................... 18
  1.4 Dhana (Falsafa) ya Mafanikio................................... 21
  1.5 Fursa na Changamoto katika Mafanikio....................... 25

  SURA II: KUTAMBUA TATIZO NA UHITAJI ............................ 29
  2.1 Kutambua Uhitaji................................................... 29
  2.2 Vichocheo (motivations) katika kutafuta.................... 34
  Mafanikio ya Kifedha

  2.3 Hali ya Kifedha kwa mtu Aliyefanikiwa na
  Asiyefanikiwa.......................................................... 36

  SURA III: NJIA NA NAMNA ZA KUFIKIA MAFANIKIO YA
  KIFEDHA ............................................................ 39
  3.1 Aina za Mapato na Vyanzo Vyake.............................. 40
  3.2 Njia za Kupatia Pesa – Mafanikio ya Kifedha ................ 45

  SURA IV: KUANZA UTEKELEZAJI ……………………….......... 65
  4.1 Nini kinawafanya wengi wasifanikiwe? ...................... 66
  4.2 Kuwa na Maono na kuweka Malengo ........................ 74
  4.3 Namna za kupata mtaji ........................................ 79
   
 9. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  nahisi kipo vizuri. Kama nataka hard copy nitakipataje.
   
 10. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kwe maduka ya vitabu posta... scolastica book shop kwa mfano. Mwenge Efatha book shop., pia kwa wauza vitabu kariakoo, posta, mwenge ubungo... Ulizia kitabu cha ujasiriamali cha "MAFANIKIO YA KIFEDHA" cha Robert C.K
   
 11. m

  mdunya JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hard copy bei gani?

   
 12. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  sio kwamba napinga ama vipi ila nauliza wewe binafsi umefanikiwa kifedha? umewekeza mahali fulani ama ni muwekezaji maana kama ni hapana then hauna tofauti na walimu wanao tukaririsha vitu mavyuoni ama madarasani..its high time we listened to some one who has been or is financially sound..not just theories
   
 13. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  it seems unataka uwasikilize akina Mengi na Bakhresa ndo ufanye kama walivyofanya au una maanisha nini..? Ok, subiri basi waandike vitabu vyao uvisome kama unaona vya wengine havitakusaidia..
   
 14. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  namaanisha hivi hayo unayoyafundisha kwenye kitabu na wewe mwenyewe unayafanya ama umeyafanya? na pia umefanikiwa ama? hilo ndo swali langu habari za akina mengi hazihusiki mf..rich dad poor dad yeye ameyapitia na yuko successful..ndo msingi wangu wa swali mkuu...maana huwezfundisha mtu kitu usicho kifanya...
   
Loading...