Mradi wa duka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa duka!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Lughe, Oct 29, 2012.

 1. L

  Lughe Senior Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Habari za asubuhi wa jf,
  Natarajia kufungua duka mahususi kwa ajili ya mahitaji madogomado ya nyumbani
  kwahiyo naombeni msaada wa ufafanuzi kuhusiana na bidhaa zipi nianze nazo,na wapi zinapatikana kwa bei ya chini.
  Zingatia:
  mtaji 2.5millions

  fremi ninayo
  bidhaa kama;
  Vyakula,vifaa vya kusafishia,soft drinks n.k
  ukiambatanisha na bei zake itapendeza sana.

  ahsanteni

   
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  huko mji gani,sababu bei zinatofautina kulinga na kila mji.
   
 3. L

  Lughe Senior Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ahsante Jamii01,
  Mini apatikana Dar maeneo ya makumbusho.
   
Loading...