Jinsi ya kuanzisha redio ya fm kijijini!!!! Msaaada jamani!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuanzisha redio ya fm kijijini!!!! Msaaada jamani!!!!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Insabhunsa Gusa, Oct 22, 2012.

 1. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na sekondari, bila kusahau kuwaburudisha wana jamii kule.

  Naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha hiyo fm redio. Utaratibu mzima na masharti yake ni yepi?? Nianzie wapi ndugu zangu?? Nawaombeni msaada wenu kiushauri na ki utaalamu... Unaweza kunishauri kwa email: jones992k@hotmail.com au kwa sms kwenye 0763 947266. Asanteni sana!!
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
Loading...