Nisaidieni wapendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni wapendwa

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Brainiac, Oct 23, 2012.

 1. B

  Brainiac Senior Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shikamoo wakubwa, wenzangu na mm habari za saa hz bila kusahau wadogo hamjambo...mimi ni msichana ninae fanya kazi katika kampuni moja hv nina shida na natumai mtanisaidia ninaomba mniambie ni biashara gani ninaweza fanya kwa kutumia msingi mdogo?
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Brainiac

  una heshima sana .... very good .... lakini bado hujafunguka
   
 3. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,651
  Likes Received: 2,099
  Trophy Points: 280
  salama dada! weka wazi msingi wako ni shilingi ngapi, upo wapi n.k. manake hata million 100 yaweza kuwa ndogo na pia laki 1 yaweza kuwa kubwa, ni kutegemea mazingira. hivyo ni vema ukaweka wazi mazingira as much as possible,
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Msingi mdogo ni bei gani??
  maana kwa miji kama dar es salaam hata million mia ni msingi mdogo........funguka zaidi tukupe mawazo....
   
 5. B

  Brainiac Senior Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mi msingi wangu ni sh. laki 3 na nusu je inawezekana?
   
 6. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  msingi mdogo! sema una mtaji kiasi gani??
   
 7. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Fungua banda la video kama unakaa uswazi litakulipa uoneshe movies zilizotafsiriwa kiswahili ili badae ufungue library ya kukodisha CDs. Kwa mabanda mengine yanayofanya biashara kama yako.
   
 8. B

  Brainiac Senior Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  inalipa sana?
   
 9. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Kulipa kunaendana na mtaji uliowekeza ndo maana wakasema high risk,high return
   
 10. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nashindwa nikusaidiaje maana hujajieleza vizuri na unaonekana hujiamini. yaani una wasiwasi sana. Biashara inataka ujiamini dada na uwe tayari kula hasara. Wazo langu kwako ni kwamba jaribu kufanya utafiti wa kina ili ujue huko unakoishi ni huduma gani watu wanaihitaji zaidi lakini inakosekana? Ukipata jibu angalia uwezekano wa kuanza kuitoa hiyo huduma ktk mazingira hayo.
   
 11. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hivi ile thread iliyukuwa na heading Mtaji Milioni 10 modes waliipeleka wapi? kwanini hawakuifanya sticky? It was one of the best threads for business ideas?
   
Loading...