Fursa nyingine Bagamoyo/Chalinze/Mzenga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fursa nyingine Bagamoyo/Chalinze/Mzenga

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Malila, Oct 7, 2012.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kuna fursa nyingine haijavamiwa sana na wenye mitaji mikubwa. Sasa hivi umeme unasambazwa kwa kasi kubwa ktk maeneo mengi ya wilaya ya Bagamoyo na Kisarawe. Kule kuna wafugaji wengi wa ng`ombe na wana maziwa ambayo kwa sababu ya kukosa matunzo yanaishia kuharibika.

  Pale Lugoba/Msoga/Msata na Ubena kuna vituo vya kukusanyia maziwa kutoka kwa wafugaji na kuyahifadhi tayari kwa kusafirisha Dar kwa walaji. Mahitaji ya huu mradi ni chumba chenye umeme, kipima maziwa ili kulinda ubora, packaging materials na uwezo wa kuwalinda wateja wako wanaokuletea maziwa na wanaonunua kwako.

  Sasa maeneo kama Mzenga/migindu na Gwata hakuna vituo hivi, sababu umeme ulikuwa haujafika, sasa hivi umeme unapelekwa huko. Kwa wenye mitaji wachangamkie fursa hii. Ukipita asubuhi mitaa ya Lugoba utaona wamasai wakipeleka maziwa yao sokoni kwa wingi.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Asante Malila
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  good good opportunity
  :poa
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Vipi kilimo cha majani ya mifugo?!?
   
 5. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Bakresa amefungua kiwanda cha maziwa kwa hivyo kuna soko la uhakika sasa hivi la maziwa
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hii biashara ni nzuri sana mkuu kama unapata shamba na ukaweka kibanda barabarani ambapo wakulima wanaweza kukufikia kirahisi. Pale Temboni kuna jamaa anauza majani makavu, au ukienda Kibaha pia wanauza.
   
Loading...