Msaada: Biashara ndogo ndogo Kenya na Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Biashara ndogo ndogo Kenya na Tanzania

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by 1800, Oct 23, 2012.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba kuelimishwa juu ya ni aina gani ya biashara ndogo ndogo naweza fanya kati ya Tanzania na Kenya!kifupi nilikua naomba msaada juu ya bidhaha gani nazoweza pata Kenya ki urahisi na ambazo soko lake Tanzania ni kubwa na pia ni bidhaha gani ambazo demand yake Kenya ni kubwa ila zinapatikana rahisi zaidi nchini Tanzania!asanteni wadau
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wengi nawaona wanaofanya biashara hizo ni wanawake wanauza vitenge na sandals za ngozi........Jaribu Hizo
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu...target yangu kubwa ni agro products,it stuffs,stationaries na phones & accessories,hiyo ya vitenge na sandals ni wazo zuri ila ni kama inawafaa zaidi dada na mama zetu kama ulivyogusia
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Karanga na Dengu zina soko sana huko Mombasa, Kenya. Ila wananua in Bulk, kuanzia tani moja onwards. sio kagunia kamoja
   
 5. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mzee una maneno wewe !!!!!!!!! Kwa hiyo lazima awe mmama?
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Funga safari nenda Kenya. Kaangalie nini kipo kule na hakipo bongo and vice versa, then rudi jipange, na uanze biashara ya utakavyoviona vinakosekana kila upande.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hapana sio lzm awe mmama hata m/me anaweza fanya......
   
 8. S

  Sanjally Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Solar panels and phones,kuna bro wangu anafanya inalipa sana
   
 9. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante sana mkuu,ngoja nijipange nikafanye research ili nipate mwanga pa kuanzia!
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyo bro wako naingiza toka Kenya au anapeleka Kenya toka Tanzania?
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ushauri mzuri mkuu,asante sana!
   
 12. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Biashara bubi mwenyewe. Watakuingiza chaka humu! Alafu ungetoa mapendekezo yako na kamtaji kako. Bidhaa na si bidhaha ni nyingi lamsingi opportunity.
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu,mimi mtazamo wangu ni kufanya biashara za nafaka kwa maana ya vyakula na phones pamoja na accessories zake,ila sina uzoefu sana mkuu,ndio maana nikaomba ushauri kwa wadau kama nyie!kamtaji kangu ni kadogo,ni kama 2 million only!
   
 14. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sasa kama ndo hivyo findi a friend akuchukulie dubai au china hizo electronics maana usiione kenya kama inatofautiana na kariakoo kivile. Pia utasumbuliwa na kodi. nafaka TZ ni nyingi hasa ukifanikiwa kuzitoa Mkoa hd Dar, utafanya biashara nzr. au chukua shamba mlandizi ufuge.
   
Loading...