Nataka nianzishe pork centre morogoro town natafuta plot ya kukodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka nianzishe pork centre morogoro town natafuta plot ya kukodi

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Capital, Oct 21, 2012.

 1. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku. Mimi naishi mji kasoro bahari na plani yangu ni kuanzisha business ya kitimoto, mtaji siyo shida. ombi langu kwenu ni kama kuna mdau mwenye plot iliyo wazi na anaweza ikodisha kwa muda usiopungua miaka 2, tafadhali tuwasiliane, ni-pm kwanza. napendekeza eneo liwe mahali panapofikika. asanteni.
   
 2. chash

  chash JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Usisahau kuwaambia lisiwe karibu na msikiti au kwenye eneo lenye waislamu wengi.
   
Loading...