Msaada tutani: nimepata mtaji wa 25mn | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani: nimepata mtaji wa 25mn

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Makanyagio, Oct 5, 2012.

 1. M

  Makanyagio Senior Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wadau kuna mtu wangu kanipa tafu ya 25mn, ni biashara gani naweza kuanzisha ikanilipa nisizame?
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Fungua bucha la nyama
   
 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,753
  Likes Received: 8,021
  Trophy Points: 280
  tu cha kwanza katika maisha yako ya biashara ambacho naweza kukushauri ni kuepuka kufanya biashara kwa maono ya mtu mwingine.

  Business ni 50% vision, 30% enthusiasm na 20% capita. Then you apply hard work

  Labda kwa ushauri, jaribu kutembea kwanza. Don't be in a hurry. Nchi yetu ni kubwa na opportunities ni nyingi lkn sidhani kama kuna mtu mwenye miujiza ya kukufanya uwe mfanyabiashara ilhali you don't have that millionaire mindset.

  Kama upo DAR, tembea kidogo mikoani kwenye shughuli za watu. Usione shida kutumia milioni moja kupata jibu la swali ambalo zawadi yake ni milioni 60. Biashara zipo mkuu
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,297
  Likes Received: 13,007
  Trophy Points: 280
  Inaonekana huna hata lepe la nn cha kufanya hahhaah fanya upendacho ndio utafanikiwa

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kula burgers na mapiza kwanza ndo mambo mengine yaje.
   
 6. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa niaba yake nakushukuru sana kwa ushauri mzuri. Je una cha zaidi ambacho waweza kumshauri yeye na sisi wengine?
  Je humshauri asajiri kanpuni limited kwa kutumia ntaji huo?
   
 7. M

  Makanyagio Senior Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35


  Asante kwa ushauri mwema, nitayafanyia kazi haya
   
 8. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,712
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  dah ningekuwa ww ningetafuta sehemu nzuri afu nikafungua stationary yenye kila k2,
   
 9. amu

  amu JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  nimekuwa addict na coment zako
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  michango yako huwa very useful....umenipa mwanga fulani
   
 11. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wewe kama wewe unajiskia kufanya nin?Ukipata jbu,na ukaamini unaweza kufanya jst do it.Ukiona vp njoo kwetu huku nunua bonge la nyumba ya kupangisha,guest,nunua mazao,Mashamba ya kukodisha n.k.baada ya hapo utakuwa na zaidi ya izo.Bt ukijichanganya utakuja kulia machozi ya damu..Omba Mungu akuongoze kufanya unayotaka kufanya.
   
 12. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Akili ndiyo hii. Ningekuwa mm ningemtafuta huyu Mwana Mtoka Pabaya kwa ushauri zaidi. Mwombe uonane naye akupe mwanga zaidi.
   
 13. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Fungua Danguro tu lina lipa sana wateja kama wakina nchembe lazima uwadake!
   
 14. z

  zamlock JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kuna watumishi wengi sana wa serikali ambao awana uwezi wa kununua laptop au hata hizi desktop computer hasa kwa walimu jaribu kutembelea baadhi ya shule na uingue mikataba na walimu wanao taka kukopa laptop au dekstop computer wape mashariti ya kukopa kama unauza laptop milion moja wambie kwa kukopesha utauza milioni na laki mbili alafu alafu wazilipe hizo pesa kwa vipindi vitatu downpayment iwe ni ghalama ya bei uliyo chukulia mzigo alafu usubirie faida tu kwa sababu ukitaka kufanya biashara ya computer utapata faida sana kwa sababu unaweza chukulia laptop moja bei ya jumla kama laki saba na ww unakwenda kuuza milion na laki mbili kwa kukopesha uoni unafaida nzuri sanaa, kwa hyo kama ukipata kwa bei nzuri zaidi tena mpya hakika utajipatia faida sana na uzoefu na hilo kwa sababu nilifanikiwa kufanya biashara ya desktop kwa walimu hapa dar yani kila mwezi nilikuwa naingiziwa pesa, na ukifanikiwa kupata wateja wako kama 50 na kwa mtaji wako wa milion 25 utapiga sana pesa kwa msaada zaidi tuwasiliane nikupe mwanga zaidi
   
 15. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Fanya research ya nguvu kabla ya kuingia kwenye biashara yoyote...ujue unataka nini kwanza ndio uanze biashara. Bussiness is passion...jipange tu kwa reseach kwanza
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
 17. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ltd co! What for? Kama hana wazo la biashara anafungua kampuni ili naye awe na kampuni au ili hiyo kampuni ifanye biashara fulani? Kabla ya kufungua kampuni lazima uwe na wazo la biashara,kwani kampuni ni aina ya ufanyaji wa biashara na sio biashara. Kwa kifupi ndugu fanya kitu kinaitwa "swot analysis" juu ya biashara unayotaka kuifanya liwe ni wazo lako au umepata hapa jf ili uweze kufanya kitu cha kueleweka.
   
 18. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Anzisha biashara ya kituo cha kufanyia mazoezi ndugu, kinalipa sana!!
   
 19. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bwana ZAMLOCK, unaweza kunipa mwangaza kidogo wa sehemu ya kueleweka, ninapo weza kupata Laptops na Desktops za jumla na kwa bei nafuu?
   
 20. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Fungua stationary katika strategic area. Inalipa sana.
   
Loading...