Usalama kuhusu FOCUS VIKOBA

Abby Senior

Senior Member
Feb 14, 2015
154
60
Wadau naomba kufahamishwa usalama wa hiki kikundi cha kukopesha watanzania cha focus vicoba, Je kuna mtu yeyote amefanikiwa kukopeshwa na kuendana na masharti yao ?
Wadau hebu angalieni attachment hii niliikuta Facebook, hivi huyo mama Janeth Magufuli ameiona hiyo
fb9388b8aa62966e4a8250286f1aa9a2.jpg
 
Back
Top Bottom