Sato na sangara wanapatikana kutoka mwanza

Fure

Member
Apr 1, 2013
23
7
Habari wana jf.....?

Mm ni mfanyabiashara kutoka mwz nimekuja dar kutafuta masoko ya samaki wamaji baridi sato na sangara.

Kutokana na mm yakutokuwa na nanafasi yakufanya hiyo biashara kwa rejareja, nimeamua kuifanya hiyo biashara kwa jumla tena kwa oda maalum.

Kwasababu hiyo basi nina karibisha wafanya biashara wote wa rejareja na wenye mighahawa, mahotelini, wenye mabar nk kunipa order, kwani samaki wanafika wakiwa fresh na ni wazuriii.

Bei yangu ya jumla Sangara 1kg ni sh.6000/= na Sato 1kg ni 8400/= kwa bei hiyo ni kwa wale wanao anzia kuchukua kgs 50 na kuendelea, na wale watakao taka kuchukua chini ya kg 50 bei itakuwa nimaelewano haitakuwa bei ya hapo juuu .......

Bhandugu nimewakilisha..... ahsante sanaaaaaa.......!!!!
 
Back
Top Bottom