ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 996
- 744
Updated.
KWA ANAYEHITAJI KIKOKOTOZI CHA HESABU ZA UFUGAJI WA KUKU BASI AWASILIANE NAMI
0752 693 692
Utapewa Bure
1. Kukokotoa kwa uhakika kiasi cha chakula kinachohitajika na kuku kulingana na umri wa kuku
2. Kukokotoa kwa uhakika kiasi cha utagaji kinachotarajia kutokana na idadi na umri wa kuku.
3. Kukokotoa kwa uhakika faida na hasara itokanayo na 1&2 hapo juu (conversion rate)
Kama utalipia elf 1000 utapewa na Kalenda ya ufugaji wa kuku,
Advanced, utalipia elfu5 na kupewa hivyo hapo juu vyote
1. Kukokotoa mtiririko wa pesa katika kipindi chote cha ufugaji wa kuku hadi kuuza, ili kujua mahitaji ya pesa katika vipindi mbalimbali na hivyo kuchukua tahadhari ya kifedha mapema (financial forecast)
Na kwa usimamizi wa mradi wako wa kuku (wakaazi wa Arusha) nipigie simu hiyo hapo juu.
Mara nyingi uwezo wetu wa kukadiria gharama za ulishaji chakula cha kuku unakuwa mdogo kutokana na au kukosa elimu ama ujuzi. Sasa kwa kutambua hilo nimetengeze kikotozi kwa ajili ya kukadiria chakula cha kuku.KWA ANAYEHITAJI KIKOKOTOZI CHA HESABU ZA UFUGAJI WA KUKU BASI AWASILIANE NAMI
0752 693 692
Utapewa Bure
1. Kukokotoa kwa uhakika kiasi cha chakula kinachohitajika na kuku kulingana na umri wa kuku
2. Kukokotoa kwa uhakika kiasi cha utagaji kinachotarajia kutokana na idadi na umri wa kuku.
3. Kukokotoa kwa uhakika faida na hasara itokanayo na 1&2 hapo juu (conversion rate)
Kama utalipia elf 1000 utapewa na Kalenda ya ufugaji wa kuku,
Advanced, utalipia elfu5 na kupewa hivyo hapo juu vyote
1. Kukokotoa mtiririko wa pesa katika kipindi chote cha ufugaji wa kuku hadi kuuza, ili kujua mahitaji ya pesa katika vipindi mbalimbali na hivyo kuchukua tahadhari ya kifedha mapema (financial forecast)
Na kwa usimamizi wa mradi wako wa kuku (wakaazi wa Arusha) nipigie simu hiyo hapo juu.
1. Katika kikokotozi hiki utagundua ya kwamba mpaka kuku anaanza kutaga anakuwa ameshakula chakula kati ya kilo 6.5 na 7.5
2. Utaona ya kwamba kwa wastani utahitaji kama sh 7,000 ili kumpa kuku chakula na kumkuza mpaka aanze kutaga mayai
PIA
3. Kipindi kigumu ni kuanzia wakati kuku ana miezi mitatu na kabla hajaanza kutaga mayai. Katika kipindi hiki kuku wanakula sana na hawatagi hivyo wewe kazi yako inakuwa ni kutoa pesa tu kwa ajili ya kununua chakula. Hapa inahitajika mipango kabambe kama kukopa pesa benki, lakini pia ni wakati gani hasa na utahitaji kiasi gani?
Kujipanga na kujua pesa ya chakula utaipata wapi na muda gani
Kujua mahitaji yako ya chakula kwa wiki ili ijipange kwa ajili ya kupunguza gharama za usafiri endapo utakuwa unanua gunia mojamoja badala ya kununua chakula kingi kwa wiki au mwezi.