Wadau wa viwanda vya Mifugo

smok3y

New Member
Dec 3, 2015
4
1
Mimi ni mjasiriamali natafuta ushauri na connections na wadau wanaojihusisha au wenye uzoefu na biashara ya supply and demand ya viwanda vya mifugo.

Yoyote mwenye interest tafadhali...
 
Hujaeleweka! Viwanda vya mifugo, viwanda vya kuzalisha mazao ya mifugo, au viwanda vya kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo?
 
Back
Top Bottom