Pangani kuna fursa gani za biashara?

Pangani kuna fursa gani za biashara?

brazoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
707
Reaction score
508
Wakuu mambo vipi?

Nilikuwa nauliza Pangani kuna fursa gani za biashara ambazo bado zipo empty au hazijawa occupied sana?
 
Uvuvi wa kisasa! Nunua boti ya kisasa kabisa,, hakuna kule
 
Back
Top Bottom