manking
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 1,306
- 316
Habari wadau,
Nashukuru Mungu aliniwezesha kupa shamba la ekari 20 maeneo ya mtibwa morogoro. Kwa muda wa miaka 5 nimekuwa nikilima Kilimo cha kutegemea mvua niliwahi kupata mwaka juzi tu mazao kidogo ya kuridhisha. Mwaka Jana nililima sikupata pia mwaka huu hadi naandika hii habari mvua zimegoma mimiea imenyauka kiufupi mtaji wangu umekufa kabisa Mazao ambayo huwa nalima ni ufuta, mahindi na alizeti.
Msaada ninao hitaji kwa sasa kama kuna taasisi yeyote au kampuni ambayo inaweza kunikopesha au kuingia ubia ili niweze kchimba kisima pamoja na vifaa vya umwagiliaji niondokane na kilimo cha mvua ani pm natanguliza shukrani .
NB shamba langu Lina hati ya kijiji kwa hiyo ni halali.