Nahitaji Asali halisi

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,154
13,376
Habari zenu?

Nahitaji Asali halisi (original honey) ambayo haijawa haijachakachuliwa iwe ya nyuki wa kubwa hata wadogo itanifaa pia.

Nahitaji kununua lita moja ila kuna uwezekano wa kuhitaji zaidi mara kwa mara.

Napatikana Arusha mjini.

Mawasiliano:0752489529 au ni PM.
 
Kwa ukanda wetu wa arusha msimu huu sio wa asali.
Mwaka jana nilienda field kule wilayani karatu, ndani ndani huko nikapata asali nyingi nikanunua Lita 20, kwakweli ilikuwa asali og kabisa nimeifurahia. Yule muuzaji amenihakikishia Mwezi wa 6, 7 ndo kipindi chake. Ningekushauri uende kule mwenyewe coz hauzi kwa lita ila kuanzia lita 10 na kuendelea. Bei sh 10,000 /L, kwa asali isiyochujwa. Iliyochujwa safi ni sh 12,000/L
 
Back
Top Bottom