Kupanda miti ya mbao

Rikaz

Member
Nov 26, 2015
86
47
Wadau kutokana nauzoefu niliopataka katika biashara ya kupanda miti. Ni nzuri zaid watu wakajiunda kwenye kundi then wakanunua Shamba nakupanda. Nirahic kwenye management nainaitaji mtaji mdogo sana.

Kwa waliointerested naomba tutengeneze kikundi kwa ajili yahiyo kazi/biashara. Tukishapata kikundi then tutakutana nakuanza mchakato pamoja.

Unaweza niPM number yako au ukaweka humu then tutakutana kwenye whtspp group.
 
Mkuu nachojaribu kufanya nikuoganaiz team ya kufanya hiyo biashara.
Katika team kila mmoja atakuja naujuz nauzoefu wa aina yake nakwapamoja tunakuwa team. So if ur interested please join.

Mi nimjasiriamali tu nauelewa wangu niwakiujasiriamali
 
Kwa hiyo hujui cho chote kuhusu miti na kasheshe zake? Na huna hata shamba lako mwenyewe. Jibu haya maswali nikusaidie ndugu yangu.
 
Naona tunashindwa kuelewana then kama unataka kuleta ushindani hivi. Kama upo interested jiunge if not pita tu.

And two kama kunaunachojua andika c lazima nachojua mimi nawe uwe unajua. Si kila jambo nilakuweka Ligi. Asante
 
Sina mpango na ligi, nilitaka kujua hayo ili nijue cha kuchangia nikijiunga na group. Hata mimi kuna mengi najifunza kwa walionizidi katika eneo husika, kwa hiyo ungechangia kwa kujibu kwamba najua kiasi Fulani na mimi naongezea halafu tunasonga mbele pamoja.

Nisamehe mkuu. Tchao
 
Naona tunashindwa kuelewana then kama unataka kuleta ushindani hivi. Kama upo interested jiunge if not pita tu.

And two kama kunaunachojua andika c lazima nachojua mimi nawe uwe unajua. Si kila jambo nilakuweka Ligi. Asante

Kwa nyongeza tu ni kwamba team za hivi nimeshiriki nyingi, zingine kwa kuanzia humu humu jf na nyingine mitaani ninakoishi. Zilizofanikiwa ni zile ambazo viongozi walikuwa wanajua na wana uzoefu na safari, na zilizokufa ni zile tulizoanzisha tukiwa wanafunzi watupu. Mfano, tuna shamba Njombe, lakini members wote wako nje ya Njombe na wamebanwa na kazi, aliyeko Njombe hana uzoefu na hii project, itakuwaje hapo mkuu?
 
Bro najaribu kurudia tena. Nimeleta hii post kupata memba waliointerested tufanye biashara coz nipo huku naninaona faida yake nanimegundua ili ufanikiwe zaidi usiwe mwenyewe. So cdhani kama tunaitaji kuzijua changamoto wakati wakujiunga Bali wakati wakupanga.

Nalengo la post sio pia kutoa somo. Kama ulipita huko ikashindikana jaribuni kujifunza kupitia makosa yenu mwendelee tena coz failure its among stages za mafanikio.

Kwa hapa if ur interested jiunge and if ur not pita.
Mjadala wa namna gani ushirika utafanya kazi nautakabiliana vip nachangamoto vyote vitajadiliwa ushirikani.

Ila kama Memba wenu mlikuwa najamii ya wenye hofu natatizo lakutenda kwa ujasiri kushindwa ilikuwa lazima.
 
Kwa nyongeza tu ni kwamba team za hivi nimeshiriki nyingi, zingine kwa kuanzia humu humu jf na nyingine mitaani ninakoishi. Zilizofanikiwa ni zile ambazo viongozi walikuwa wanajua na wana uzoefu na safari, na zilizokufa ni zile tulizoanzisha tukiwa wanafunzi watupu. Mfano, tuna shamba Njombe, lakini members wote wako nje ya Njombe na wamebanwa na kazi, aliyeko Njombe hana uzoefu na hii project, itakuwaje hapo mkuu?
Bro najaribu kurudia tena. Nimeleta hii post kupata memba waliointerested tufanye biashara coz nipo huku naninaona faida yake nanimegundua ili ufanikiwe zaidi usiwe mwenyewe. So cdhani kama tunaitaji kuzijua changamoto wakati wakujiunga Bali wakati wakupanga.

Nalengo la post sio pia kutoa somo. Kama ulipita huko ikashindikana jaribuni kujifunza kupitia makosa yenu mwendelee tena coz failure its among stages za mafanikio.

Kwa hapa if ur interested jiunge and if ur not pita.
Mjadala wa namna gani ushirika utafanya kazi nautakabiliana vip nachangamoto vyote vitajadiliwa ushirikani.

Ila kama Memba wenu mlikuwa najamii ya wenye hofu natatizo lakutotenda kwa ujasiri kushindwa ilikuwa lazima.
 
nataka kujua kuhusu huu ujasiria mali inakuwaje ..? nafuatilia thread
 
Mleta uzi mbona mkali na hataki maswali. Ngoja nipite tuu.
Sorry kwa kuonekana mkali mana ckupenda tu unaf... Wa jamaa.

Ujasiriamali uliopo hapa naninaohusika nao ni wabidhaa za misitu
1) Mbao (Kuchana nakuuza ikiwemo kusafirisha,)
2) Nguzo (za umeme nasimu)

Kwa upande wanguzo huwa tunanunua kwa wakulima na kuziuza kiwandani ambao wao wanatreat nakuziuza kwenye miradi ya umeme au kwenye makmpn ya simu.

2) Pia kunabiashara ya kupanda miti ya Mbao ama Nguzo (mlingoti)
Hii nikupanda miti after some yrz 8 plus tunavuna. ( lengo la uzi nihapa kutengeneza kikundi kitachonunua ardhi nakupanda miti. Nirahic kwa kutumia group coz inasaidia kimtaji kwamba hata mwenye mtaji mdogo ataweza shiriki napia inarahisisha management.

Kwa upande wangu nitatoa uzoefu wamaeneo mbali mbali katika chain ya hii biashara and nawafahamu baadhi ya wadau wakuu wamisitu nitawaleta tutawatumia. Pia naamin kunawengine watakuja watakuwa nauzoefu wao kwa pamoja tutajenga jambo kubwa.
 
Aisee mkuu nimeikubali hii,vipi naweza kujiunga.?
 
Back
Top Bottom