Upandaji wa miti

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
269
94
Wakuu habari

Kwa anaehitaji shamba kwa ajili ya kupanda miti mkoani iringa wilaya ya mufindi mashamba yapo yanapatikana kwa bei 130000 mpaka 120000 kwa ekari moja kutokana na eneo shamba lilipo karibuni

Mashamba mengi yanapakana na mistitu ya serikali usamala wa moto ni asilimia 70%
 
Back
Top Bottom