Msaada: Nataka kuwa Mkulima

Msaada: Nataka kuwa Mkulima

Vvip

Senior Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
190
Reaction score
87
Za asubuhi ndugu zangu, natumaini mmeamka salama,
Mimi ni kijana wa kiume nahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo nahisi ndo kitu ambacho kitanifanya nifikie malengo yangu, nimeajiriwa lakini kila kukicha naona sifiki pale ninapopataka na akili yangu inawaza kilimo tu, natamani nilime mazao aina tatu, nayo ni VITUNGUU,TIKITI MAJI NA NYANYA lakini kwa njia ya GREENHOUSE, nimeulizi gharama za greenhouse nimeambiwa ni TSH.million 5 ikijumuisha kuchimbiwa kisima,Pampu ya kuvuta maji n.k,
Nawasilisha hoja yangu.
 
kwanini usilime eneo la wazi tu? hiyo milioni tano unaweza ukanunua ekarii 3 ukazilima hadi kuvuna.
 
Aisee soon, naanza ufugaji wa samaki namm
 
kwanini usilime eneo la wazi tu? hiyo milioni tano unaweza ukanunua ekarii 3 ukazilima hadi kuvuna.
Hilo linawezekana na sipingi wazo lako ila hili la greenhouse nimeona linatija,na zaid ya hapo wanakusimamia kwa mavuno yako ya kwanza ili upate kiwango sawa na walichokiainisha kwenye kuvuna.
 
Hilo linawezekana na sipingi wazo lako ila hili la greenhouse nimeona linatija,na zaid ya hapo wanakusimamia kwa mavuno yako ya kwanza ili upate kiwango sawa na walichokiainisha kwenye kuvuna.
gh hailipi kwa mitaji midogo, anza na shamba wazi.
 
Back
Top Bottom