Kitomondo, kilimo gani naweza kufanya?

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
302
200
Habari ndg wanajamiiforum,
Nani anapajua Kitomindo vizuri? Na je mazao gani yanastawi maeneo yale kando mto Ruvu?
Mwenye idea anieleze jamani nimechoka kukaa town naangaika na ajira za kubembelezana na kunyenyekeana..kujikomba ndo upandishwe cheo!

Tafadhali kama kuna ndugu anajua yale maeneo vizur tupeane feedback..ie jamii ya pale ikoje..

Asanten JF,
Home of Talended Tanzanians
 
Me naifahamu... Kma upo karibu na mto.. Matikiti, bamia, nyanya, hoho, maembe, vyote vinastaw vizur.. Mpunga pia
 
Back
Top Bottom