Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,369
Habari zenu ndugu wajasiriamali, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Mimi nina eneo lenye maji kiasi kidogo na nataka kulitumia kwa kilimo cha umwagiliaji.Wapi nitapata wataalamu na wauzaji wa vifaa kwa ajili ya umwagiliaji kwa njia ya matone ili niweze kuyatumia maji kidogo kwa ufanisi mkubwa.Natanguliza shukrani zangu kwenu.