flint van sein
New Member
- Aug 30, 2016
- 4
- 1
asalam alykum sisi nivijana ambao tulio jitolea kiakili na kimwili pia kuweza kujikwamua na maisha lakini as kama group wote ni wanafunzi malengo yetu nikujishughulisha kuyaanda future zetu hivyo tunge penda kupata ushauri wenu kwani tulifikiria kilimo hivyo (1)nikujua kilimo cha muda mfupi nikipi?(2)kinachukua muda gani?(3)njia zake za kulimia ?(4)kina nafasi gani ktk soko la kibiashara? Hivyo tu au kama kuna nyiongeza welcome muhimu jamani