Kuroiler, Kari,Sasso,Kenbro, Dorep

CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,990
2,000
Wakuu unaweza endelea kuwapata kwa kuweka Oda hizo breed na kwa sifa zao zaidi google

1. KUROILER-Hii breed inaweza ishi mazingira magumu kabisa, na Mseveni President of Uganda alipo fanya ziara India aliomba hii breed kutoka India ili isaidie kupunguza umasikini kule Uganda, Na sababu kubwa ya kupendwa a Raisi ni kwa sababu ya kuweza kusihi mazingira magumu

2. Kari-Improved Kienyeji hawa ni baada ya utafiti wa 10 years wa kuchagua breed mbalimbali among local breeds ndo ikapatikana hii breed, ni the best kwa utagaji wa mayai

3. Sasso-Hii ni Breeds na ni Brand name ya kampuni ya Sasso from France- ni ndo kuku wenye radha nzuri kuliko kuku wowote wale wana radha ya kipekee kabisa

4. Kenbro-Hybreed from France,

5. Dorep- Heavy breeds
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom