Mimi ni mama N'tilie, nahitaji mkopo wa biashara

Mimi ni mama N'tilie, nahitaji mkopo wa biashara

wachafu

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20
Reaction score
0
Habari,

Naombeni msaada wenu kujuzwa sehemu wanayotoa mkopo, nafanya kazi mama ntilie.
 
Jina lako tu... Daah.

Hujasema uko wapi, unahitaji kiasi gani, una dhamana gani....
 
Tumia namba hizi za lowassa mjulishe tatzo zako atakusaidia,0756218974
 
msaada nahitaji mkopo kwa anae kopesha kwa riba nipo dsm ambae anajua au anakopesha ani pm
 
Back
Top Bottom