Kuroiler fertilized eggs for incubation

Kuroiler fertilized eggs for incubation

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
776
Wadau habari?
Nimefuatilia sana mitandaoni kuhusu hawa kuku aina ya Kuroiler, nimetokea kuwapenda kwa jinsi wanavyosifiwa ila sina uzoefu nao. Sasa kwenye pita pita zangu za kutaka kujua wapi nitapata hii mbegu nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuna huyu mdau anaitwa Kakama EK (nimemwona facebook) akitangaza mara kwa mara kuwa anauza fertilized Kuroiler eggs. Ila yeye Yuko Uganda na anasafirisha kwa basi hadi Dar ambapo mhusika atapokea.

Naomba ushauri wa mambo yafuatayo.
  1. Kama kuna mfugaji mzuri wa hawa kuku na anaweza kunipa mayai nitotoleshe maana mimi nina incubator.
  2. Je, kuna mdau ambaye alishawahi kufanya biashara na huyu jamaa wa Uganda ambaye anasafirisha, huyu mtu ni genuine kweli? Naogopa sana hizi biashara za mitandaoni.
 
Mkuu kwenye mayai utaumia zaidi.Suala la kutotolesha mayai,ambayo hujui yana muda gani toka yatotolewe ni sawa na mchezo wa karata tatu.

Cha msingi mwambie huyo mganda akuletee hao vifaranga na umlipe baada ya kuvishika mkononi,kumbuka serikali inapiga kelele uingizaji wa Kuku na mayai toka nje.Hata kama kuna utaratibu wa kuingiza kwa vibali,ila utasumbuka sana hadi kukamilisha utaratibu, mwache mganda akuletee mwenyewe.
 
Mtafute jamaa anaitwa chasha ana habari zote kuhusu hao kuku
 
Back
Top Bottom