Kufungasha maziwa

Kufungasha maziwa

Jotu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
444
Reaction score
311
Wanajamii nawasalimieni. Ninauhitaji mku wa sana wa kujua jinsi ya kufungasha maziwa (packaging). Nipo eneo zuri linalozalisha maziwa lakini soko ni baya. Nikifungasha nadhani nifanya biashara na kuwapatia wafugaji soko. Mwenye ufahamu anijuze.
 
Unapatikana wapi mkuu?
 
Waone Tanzania Bureau of Standard wana kitengo cha ushauri na maabara ya vifungashio, watakusaidia.
 
ukipata nijulishe na mimi hata mimi pia nilikua nawatafuta hao watu
 
Waone Tanzania Bureau of Standard wana kitengo cha ushauri na maabara ya vifungashio, watakusaidia.
TBS wapo ubungo maji ndipo ofisi zao zilipo nenda hapo ukapate ushauri zaidi
 
Nashukuru wote. Itabidi nijipange kuja Dar maana niko mikoa ya kati
 
Kumbuka pia kuna TFDA mkuu. Maadamu unahusika na chakula wao ndio wa kwanza kabla ya TBS. Kuhusu vifungashi nenda Omar packaging Nyerere road. Ila wanahitaji utoe vifungashi vingi kiasi cha kilo 500 hivi. Sina mawasiliano yao ni kampuni tanzu ya Adam Ila walikuwepo maonyesho ya sabasaba.
 
Back
Top Bottom